
Wezesha Mzawa Microfinance inakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye hamasa na sifa stahiki kujiunga kama Maafisa Mikopo (Nafasi 10).
Sifa za Muombaji:
Shahada ya kwanza au Stashahada ya Juu katika Fedha, Uchumi, Benki, Masoko au fani inayohusiana
Uzoefu wa angalau miaka 2 katika sekta ya kifedha (itapewa kipaumbele)
Jinsi ya Kutuma Maombi:
Tuma maombi yako kupitia barua pepe: wezesha.microfinance@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi: Tarehe 30 Julai 2025