Waziri Mkuu, Dkt, Mwigulu Nchemba akizunguza wakati alipokagua Bandari ya Lindi, Desemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba akikagua Bandari ya Lindi, Desemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Meli kutoka Comoro ikiwa kwenye Bandari ya Lindi ambayo Waziri Mkuu aliikagua, Desemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa Bandari ya Lindi ambayo Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba aliitembelea, Desemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)







