Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis ametoa zawadi za Sikukuu ya Christmas na Mwaka kwa niaba ya Rais Samia katika Makazi ya wazee Zanzibar. Read More
Wakala wa nyota wa kimataifa wa Uhispania, Dani Olmo, aliibua utata kuhusu hatma yake na FC Barcelona, kabla ya kipindi kijacho cha msimu wa baridi wa 2025. Read More
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024. Basi hilo liliokuwa linafanya... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 22, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 22, 2024 first appeared on Millard Ayo.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka TANROADSkuongeza kasi ya ujenzi wa daraja la Simiyu, wilayani Magu kwenye barabara kuu ya Mwanza-Musoma ili likamilike kwa wakati. Read More
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Kampuni ya Mwembe Logistics, inayotoa huduma za usafirishaji wa mizigo na uwakala wa forodha, imeendelea kujizatiti na kuonyesha ubunifu mkubwa katika huduma zake, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kukuza sekta ya utalii nchini. Akizungumza katika Tamasha la Utalii linalofanyika wilayani Same, lililopewa jina la Same... Read More
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. DENNIS L. LONDO (Mb.) amewataka watumishi wanaotoa huduma mipakani kufanya kazi kwa bidi, weledi na uadilifu. Mhe. Londo ametoa rai hiyo alipokuwa akiongea na watumishi wanaotoa huduma katika Kituo cha Utoaji Huduma kwa Pamoja cha Holili/Taveta, Wilayani... Read More