Baadhi ya washiriki kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Tanzania wamekutana katika kikao cha kuimarisha ushirikiano katika masuala ya Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) Read More
Mawaziri wa Kisekta walioshiriki Jukwaa la Biashara na Uwekezaji lililoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Artabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIA na Kituo cha kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Riyadh nchini Oman Read More
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi itaanza Mpango wa Utoaji wa Chanjo na utambuzi wa Mifugo Kitaifa kuanzia Mwezi Januari 2025. Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mthibiti Ubora wa Kiwanda cha Uzalishaji dawa za Binadamu cha CURE AFYA, Kareem Mruthu, alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kimbiji, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam. Read More
Timu ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (Government Negotiation Team – GNT-LNG) ipo katika ziara nchini Indonesia. Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) asaini Hati ya Mikataba Miwili (2) kusaidia utekelezaji wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania Read More
Washindi wa tuzo hizo katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa katika picha ya pamoja Baadhi ya washindi wakionyesha tuzo zao wakati wa hafla hiyo Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini,Georgia Mutagahywa, akiambatana na wadau wengine kumkabidhi tuzo kiongozi wa kimila wa Kimasai kutoka Ngorongoro Lengumo Permiria ambaye pia aliibuka kidedea. 5.Mwakilishi wa Taifa... Read More
Rais Samia amemtangaza Profesa Janabi kama muwakilishi aliyechaguliwa kuiwakilisha Tanzania katika kunyang'anyiro cha kuwa Mkurugenzi WHO Afrika. Read More