Juhudi za Serikali katika zoezi la uokoaji wa manusura wa ajali iliyotokea jana Novemba 16,2024 ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 4,Kariakoo Jijini Dar es Salaam Read More
Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa. Read More
Rais Samia Suluhu Hassan alialikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 ukiwa na kauli mbiu inayosema ‘Kujenga ulimwengu wa haki na sayari endelevu’. Read More
*Ni kwa kupitia uuzaji wa Hisa za Upendeleo BENKI ya Biashara ya DCB, imezindua zoezi ya uuzaji wa Hisa za Upendeleo, ikitarajia kupata zaidi ya sh bilioni 10.7 ili kuongeza kiasi cha mtaji wake unaofikia sh bilioni 15 kwa sasa, ili pamoja na mambo mengine kukidhi vigezo vilivyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), pamoja... Read More