Daktari Bingwa wa Watoto Profesa Karim Manji (katikati) ashinda tuzo ya juu ya Alumni Award of Merit kutoka Shule ya Afya ya Chuo Kikuu cha Harvard Marekani Read More
Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri pamoja na Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za Afya ya Msingi nchini kutakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kushughulikia changamoto. Read More
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akizungumza na Makatibu Tawala Wasaidizi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wakati akifungua semina elekezi kuhusu Mwongozo wa Kudhibiti VVU, UKIMWI na Magonjwa Sugu Yasiyoambukizwa mahali pa kazi katika Utumishi wa Umma. Sehemu ya Makatibu Tawala Wasaidizi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka mikoa... Read More