Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umefungwa rasmi jijini Kigali leo tarehe 26 Julai 2025 Read More
Vipindi vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai 25 mwaka huu katika king’amuzi cha Startimes Tanzania kupitia Chaneli yake ya ST Swahili lengo likiwa kuwapa nafasi Watanzania kuona matukio mbalimbali katika Miss Universe nchini. Read More
Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission – JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umeanza rasmi leo tarehe 24 Julai 2025 jijini Kigali, na unatarajiwa kuendelea hadi tarehe 26 Julai Read More
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yaliyolenga kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazowakabili wanawake na wasichana duniani. Read More
Mhe. CP. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Mhe. Chandapiwa Nteta, Balozi wa Jamhuri ya Botswana nchini Msumbiji kwa ajili ya kujitambulisha Julai 24, 2025 jijini Maputo. Read More
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Mwamini Malemi, amepongeza huduma zinazotolewa kwa wanachama na wananchi wanaotembelea banda la Mfuko katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) Read More