0 Comment
Afisa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha, Bi. Eva Varelian (kushoto) akitoa elimu kwa mkazi wa Dar es Salaam, Veronica Komba, kuhusu taarifa zinazopatikana kwenye Jarida la Wizara ya Fedha (Hazina Yetu) kwa kupakua kupitia Msimbo alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha, kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar Es... Read More