0 Comment
Na Sophia Kingimali. Chuo Kikuu Dodoma UDOM kimekuja na teknolojia mpya ya uuzaji wa vimiminika kidigital ambapo imekuja kutatua changamoto mbalimbali za wajasiliamali lakini pia kuokoa muda. Akizungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya 49 ya biashara Sabasaba jijini Dar es salaam julai 3,2025 muhazili Mwandamizi kwenye ndaki ya sayansi za komputa na elimu... Read More