Babati, Manyara Wananchi wa Kata ya Babati wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa madaraja saba (7) pamoja na kufungua barabara katika kata hiyo ambapo kwa kipindi kirefu wamekuwa wakipata adha ya usafiri hususan kipindi cha mvua. Akitoa pongeze hizo Diwani wa kata ya Babati Mhe. Haruni... Read More
Mdau wa Muziki Fido Mgaigai, (Katikati) akizungumza katika jopo la majadiliano wakati wa hafla fupi iliyowakutanisha wadau mbalimbali wa muziki kwa lengo la kujadili masuala tofauti tofauti yanayohusiana na muzikin katika hafla iliyoandaliwa na Mdundo.Com. Mdau wa muziki, Aman Martin, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi iliyowakutanisha wadau mbalimbali wa muziki kwa lengo... Read More
Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA, Anthony Kasore akizungumza wakati wa kuhitimisha zoezi la uchaguzi wa wanafunzi walioomba kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vya VETA kwa mwaka wa masomo unaoanzia Januari 2025. Read More
Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini Mhandisi James Jumbe Wiswa, amewaomba wananchi wa Kata ya Chamaguha kuchagua viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa Read More
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya makubaliano ya Mpango wa Maboresho ya Utoaji wa Huduma Bandari ya Zanzibar (Zanzibar Port Improvement) hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-11-2024. Read More
Wakuu wa Nchi nane za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, wanatarajia kukutana mkoani Arusha Novemba 29 kwa ajili ya kushiriki Vikao vya kawaida pamoja na kuongoza maandalizi ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Read More
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Pemba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zote kuhusu miundombinu ya mawasiliano zilizobainishwa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), visiwani Pemba. Changamoto hizo ni pamoja na ukosefu wa mtandao wa intaneti wenye kasi na mawasiliano... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 22, 2024 anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la tano ya Maendeleo ya Biashara na Uchumi linalifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hazina jijini Dodoma. Read More
Na Denis Mlowe, Iringa VIJANA vyuo vikuu mkoani Iringa ni miongoni mwa walengwa watakaonufaika na mradi wa Reproductive Equity Strategy in Tanzania (REST) unaotekelezwa na shirika la Deutsche Stiftung Weltbevolkerung (DSW) kwa kushirikiana na mashirika ya TAHEA na Alama Yangu mkoani Iringa. Vyuo hivyo ni pamoja na Chuo Kikuu cha Iringa (IUCo), Chuo Kikuu Kishiriki... Read More