0 Comment
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wananchi, walimu, wafanyakazi na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Zingibari iliyopo Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga Oktoba 23, 2024 ambapo vyumba vya madarasa manne na matundu nane ya vyoo vimejengwa. ….. SERIKALI inakuja na Mpango wa kuongeza misitu... Read More