Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, utakaofanyika jijini Dar es Salaam. Read More
MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(TAWA) Kanda Maalum ya Dar es Salaam imeshiriki katika maandamano ya kuanzishamisha wiki ya sheria Maandamani hayo yameanzia Mahakama Kuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuhitimishwa katika viwanja vya mnazi mmoja huku yakishirikisha wahifadhi kutoka Makao Makuu ya Kanda na kituo cha Magofu leo januari25,2025. Kauli mbiu ya maadhimisho... Read More
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mhe. Sixtus Mapunda akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi akizungumza katika hafla hiyo. Sehemu ya Watumishi wa Mahakama na Wananchi kutoka maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam (juu na picha mbili chini) wakifuatilia kilichokuwa kinajiri... Read More
Maafisa wa Wizara ya Katiba na Sheria wnatarajia kuwafikia Wananchi wenye Changamoto mbalimbali kwa lengo la kutatua Migogoro mbalimbali ikiwemo migogoro sugu ya Ardhi , Mirathi , Migogoro ya mipaka kwenye maeneo ya uchimbaji huku wananchi wakitakiwa kujitokeza kwa wingi na kutoa ushirikiano kwa Maafisa hao. Akizungumza Mara baada ya kufungua warsha hiyo iliyowakutanisha Maafisa... Read More
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imewataka wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuwa sehemu ya usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya kilimo kama wanavyo heshimu maandalizi ya mbio za mwenge ili kuleta mapinduzi ya kilimo ambacho ni kutega uchumi na kiinua mgongo cha watanzania. Bashe amesema hayo katika hafla ya utiaji saini ya makubaliano na wakurugenzi wa... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 25 2025 atazindua Kanzidata na Mfumo wa Taarifa za Watu Wenye Ulemavu Unaotokana Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma Mfumo huo utawezesha wadau wa maendeleo, na watunga sera katika kupanga, kutekeleza, na kufuatilia maendeleo ya Watu... Read More
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limethibitisha kumwachia kwa dhamana John Isaya (21), mkazi wa Bukala wilaya Sengerema, anayekabiliwa kwa tuhuma za kutangaza kuuza mtoto wake kwa shilingi milioni moja na laki sita ( 1,600,000/-), mitandaoni. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP. Wilbrod Mutafungwa, wakati akizungumza na @Ayo_TV mtuhumiwa ameruhusiwa kuwa... Read More
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Kikosi maalum cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa Kushirikiana na Wananchi kinaendelea na Operesheni ya kuwatafuta na kuwaokoa Wavuvi katika Ziwa Rukwa ambapo kufikia leo tarehe 25 Januari 2015 saa tisa mchana, miili ya Wavuvi nane imepatika. Bashungwa akiwa ameambata na Waziri... Read More
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Alex Msama ambaye pia ni Muandaajia wa Matamasha ya injili ametoa maoni yake kuhusiana na kitendo cha Msanii wa nyimbo za Injili Goodluck Gozbert kuchoma moto gari linalodaiwa kuwa alipewa zawadi na Nabii Mkuu Geor Davie. “Nimepokea kwa masikitiko makubwa kitendo cha Muimbaji wa nyimbo za injili ambaye ni... Read More