Hatifungani ya Kijani ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga UWASA) yaorodheshwa katika Soko la Hisa la nchini Luxembourg. Read More
Tanzania,kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh 678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Read More
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeazimia kurudisha minada ya ndani ya madini ya vito itakayofanyika katika maeneo ya uzalishaji hususan Mirerani, Mahenge, Tunduru, Dar es salaam, Arusha na Tanga na kimataifa itafanyika mji wa Bangkok na Jaipur nchini Thailand. Hayo yamesemwa leo Oktoba 16, 2024 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde wakati akijibu hoja... Read More
RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza UVCCM kwa kufanya matembezi toka Butiama hadi jijini Mwanza kuadhimisha miaka 25 ya kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere Read More
Na. Dennis Gondwe, MWAJA, CHAMWINO VIONGOZI bora wa serikali za mitaa wanachaguliwa na wananchi waliojiandikisha katika orodha ya wapiga kura ili waweze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kauli hiyo ilitolewa na mkazi wa Mtaa wa Mwaja, Kata ya Chamwino, Josephine Joseph alipoongea na mwandishi wa habari hii muda mfupi baada ya kujiandikisha katika orodha... Read More