0 Comment
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake ya Makumbusho ya Taifa, Chuo Cha Taifa Cha Utalii na Bodi ya Utalii kwa kazi nzuri ya maboresho makubwa yanayofanyika. Read More