Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akifungua Mradi wa Hoteli wa Bawe Island by Cocoon Collection, Bawe-Zanzibar, leo tarehe 7 Januari, 2025.
Waziri wa Madini, Mh.Anthony Mavunde (Mb) amesimamisha shughuli za uchimbaji zilizokuwa zikifanywa na kampuni ya G & I Tech Mining Company Ltd kwa kipindi hichi cha masika mpaka pale tathmini ya mazingira itapokamilika. Read More
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka TANROADSkuongeza kasi ya ujenzi wa daraja la Simiyu, wilayani Magu kwenye barabara kuu ya Mwanza-Musoma ili likamilike kwa wakati. Read More
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Kampuni ya Mwembe Logistics, inayotoa huduma za usafirishaji wa mizigo na uwakala wa forodha, imeendelea kujizatiti na kuonyesha ubunifu mkubwa katika huduma zake, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kukuza sekta ya utalii nchini. Akizungumza katika Tamasha la Utalii linalofanyika wilayani Same, lililopewa jina la Same... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Mb), akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la Sukuma lenye urefu wa Mita 100 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 2.3 leo tarehe 20 Desemba 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya (Mb) na viongozi wengine wa Chama na Serikali wakishuhudia zoezi hilo. Naibu... Read More