Kongamano la 42 la kisayansi la chama cha kitaaluma madaktari wa wanyama Tanzania, linatarajiwa kufungulia na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Arusha. Read More
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaongoza waombolezaji kutoa heshima na kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa WHO, Kanda ya Afrika, Mhe. Faustine Engelbert Ndugulile, leo Jumatatu, tarehe 2 Desemba 2024, katika Viwanja vya Karimjee, Dar Es Salaam. Read More
Idadi ya watoto kundikishwa kwenye magenge ya kihalifu nchini Haiti yatajwa kuongezeka, hii ni kulingana na shirika la Umoja wa Mataifa la kuwalinda watoto (UNICEF). Read More
Raia wa Namibia watapiga kura 27 Novemba 2024 katika uchaguzi unaotarajiwa kuwa wenye ushindani mkali zaidi kwa chama tawala cha SWAPO, ambacho kimekuwa madarakani kwa miaka 34. Iwapo mgombea wa SWAPO Netumbo Nandi-Ndaitwah atashinda, atakuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo. Kupoteza kwa SWAPO kutamaanisha mpito wa kwanza wa mamlaka kwa chama kipya tangu Namibia... Read More