Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum kwa njia ya mtandao kesho, Julai 26, 2025, ambapo ajenda kuu itakuwa kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho. Read More
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi, sambamba na kuvishirikisha kikamilifu vyama vyote vya siasa vyenye usajili halali katika hatua zote za mchakato huo. Read More
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Bi. Amina Talib Ali, amesema Tume hiyo ni mdau mkubwa katika utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria (OCPD) hasa katika kuhakikisha sheria zinaandikwa kwa kuzingatia Haki na Utawala Bora. Read More
Aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Kituo cha Afya Endagwe wilayani Babati, Mohamed Twalib Baya, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, kujibu mashtaka ya rushwa, uhujumu uchumi na kughushi nyaraka. Read More
Kupanda cheo ni kuongezewa majukumu ya kiuongozi katika usimamizi wa shughuli za uhifadhi, utalii, ulinzi, maendeleo ya jamii na urithi wa asili na utamaduni uliopo hifadhi ya Ngorongoro. Read More