Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Antoine Tshisekedi, aliwasili Entebbe, Uganda, Jumatano kwa ziara ya kikazi ya saa chache na mwenzake, Rais Yoweri Museveni. Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Nchemba (Mb), amerejea wito wa Tanzania kwa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kukifanya Kiswahili kuwa miongozi mwa lugha rasmi za mawasiliano katika mikutano ya Taasisi hizo. Read More
The Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Denis Londo (MP) takes oath of the allegiance to the house before the Speaker of the East African Legislative Assembly, Hon. Joseph Ntakirutimana to become the Ex-Officio Member of the EALA. Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliw amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam. Read More