Kamishna Turk alisema hatua iliyochukuliwa na Tanzania kuanzisha Tume ya kuchunguza kilichojiri Oktoba 29, kama hatua muhimu inayojali haki za binadamu . Read More
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewaagiza baadhi ya mawaziri alioambatana nao wabakie mkoani Tanga ili kufuatilia masuala yaliyoibuliwa na wananchi na kuyatafutia ufumbuzi. Masuala hayo yalitokana na hoja zilizoibuliwa kwenye mikutano ya hadhara na wabunge wa mkoa wa Tanga na wananchi mbalimbali kwenye sekta za ardhi, mifugo, kilimo, maji, elimu na barabara. Ametoa Read More
Urusi imefanya shambulizi kubwa dhidi ya miundombinu ya nishati nchini Ukraine, hatua iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mengi ya nchi hiyo. Taarifa hiyo imetolewa leo na Kampuni ya Taifa ya Umeme ya Ukraine, Ukrenergo. Kupitia ujumbe uliotolewa kwenye mtandao wa Telegram, Ukrenergo imesema kuwa mashambulizi hayo bado yanaendelea, huku ikibainisha kuwa shughuli za kurekebisha
The post Urusi Yashambulia Gridi ya Umeme Ukraine, Maeneo Mengi Yabaki Giza appeared first on Global Publishers. Read More
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Mteule wa Uganda, Jenerali Yoweri Kaguta Museveni, amemtunuku nishani Mkuu wa Majeshi (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kwa kutangaza na kutambua ujasiri wake katika operesheni dhidi ya makundi ya kigaidi nchini Somalia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), na Sudan Kusini. Katika hafla hiyo maalumu ya kijeshi, Rais Museveni alimpongeza
The post Museveni Amtunuku Nishani Mwanaye CDF Muhoozi Kwa Ujasiri appeared first on Global Publishers. Read More
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia Bi. Victoria Swebe, Bryson Kamembe, Asajile Mwasalemba na Elia Mwalumbu wote wakazi wa Wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Read More
Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma kwenye mkutano huo jijini Kinshasa Novemba 15, 2025. Read More