Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akifungua Mradi wa Hoteli wa Bawe Island by Cocoon Collection, Bawe-Zanzibar, leo tarehe 7 Januari, 2025.
Waziri wa Madini, Mh.Anthony Mavunde (Mb) amesimamisha shughuli za uchimbaji zilizokuwa zikifanywa na kampuni ya G & I Tech Mining Company Ltd kwa kipindi hichi cha masika mpaka pale tathmini ya mazingira itapokamilika. Read More