Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe Aliyehudumu katika nafasi hiyo kwa takribani miaka 20 sasa leo Disemba 21, 2024 anatoa msimamo wake kuhusu yeye kuendelea kugombea kiti hicho kwa muhula wa tano au kutokuendelea. Mwenyekiti Mbowe katikati ya juma alipokea ugeni kutoka kwa wananchama, wakereketwa na baadhi ya viongozi... Read More
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili na kupokelewa Wilaya ya Nzega, leo Ijumaa tarehe 20 Desemba 2024. Read More
Waziri wa Maji, Nishati na Madini katika Serikali ya Zanzibar Shaib Hassan Kaduara ameipongeza Puma Energy Tanzania kusogeza huduma ya nishati ya mafuta kwa wananchi wa Zanzibar. Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mahafali ya 43 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye uwanja wa Kawawa katika Manispaa ya Kigoma, Desemba 5, 2024. Waziri Mkuu alimwakilisha Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango. Read More
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza vikao vya bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) leo Jijini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu. Read More
Idadi ya watoto kundikishwa kwenye magenge ya kihalifu nchini Haiti yatajwa kuongezeka, hii ni kulingana na shirika la Umoja wa Mataifa la kuwalinda watoto (UNICEF). Read More