0 Comment
*Asema majiko yanayotoa nishati safi ya kupikia ni salama *Ataja Wanawake kuathirika zaidi na matumizi ya nishati zisizo safi Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao. Mhe. Khamis ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati... Read More