Hatifungani ya Kijani ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga UWASA) yaorodheshwa katika Soko la Hisa la nchini Luxembourg. Read More
Tanzania,kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh 678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Read More
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeazimia kurudisha minada ya ndani ya madini ya vito itakayofanyika katika maeneo ya uzalishaji hususan Mirerani, Mahenge, Tunduru, Dar es salaam, Arusha na Tanga na kimataifa itafanyika mji wa Bangkok na Jaipur nchini Thailand. Hayo yamesemwa leo Oktoba 16, 2024 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde wakati akijibu hoja... Read More
RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza UVCCM kwa kufanya matembezi toka Butiama hadi jijini Mwanza kuadhimisha miaka 25 ya kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere Read More
Na Neema Mtuka Serikali, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza usambazaji wa umeme katika vitongoji 75 vya Mkoa wa Rukwa, baada ya kukamilisha kusambaza nishati hiyo kwenye vijiji 320 kati ya 339 vilivyopo mkoani humo. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 15.7 unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24 na unalenga kunufaisha zaidi ya... Read More