Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili nchini Namibia, akiongoza ujumbe wa CCM kwenye mazishi ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba wa Taifa hilo, Dkt. Sam Nujoma. Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge)-Pangani -Tanga (km 256) sehemu ya Mkange-Pangani-Tanga Read More
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ameipongeza Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa kazi kubwa ya kutekeleza majukumu yake kwa maslahi ya taifa. Read More
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Ireland zimesaini hati ya makubaliano katika Sekta ya Afya ili kuendeleza ushirikiano uliopo ikiwemo kubadilishana uzoefu baina ya watalaam katika nchi hizo mbili. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Saudi Arabia kuhusu Nishati Safi ya Kupikia. Read More
Serikali za Tanzania na Misri kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kuimarisha sekta ya usafirishaji, nishati, ujenzi wa miundombinu, uchukuzi, biashara na uwekezaji, kilimo, mifugo na uvuvi. Read More
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi (VETA) kupitia chuo chake cha VETA Arusha, imezindua Mradi wa kuzalisha Gesi Asilia kwa kutumia Samadi (Biogas), kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi na watumishi. Read More
Benki ya Absa Tanzania imezindua bidhaa mpya, Akaunti ya Akiba ya Kikundi, inayolenga kuwawezesha watu wanaokusudia kufikia malengo ya kifedha ya pamoja kuweza kuweka akiba na kuwekeza. Read More
Dkt. Leonard Akwilapo, amekabidhi vyeti kwa shule tatu zilizonufaika na miradi ya Mfuko wa Elimu wa Taifa baada ya kukamilika kwa ujenzi wake katika Halmashauri za Wilaya ya Mtama na Masasi Read More