0 Comment
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linajulisha kuwa leo Septemba 27, 2024 majira ya saa 2.30 Asubuhi Gari lenye namba za usajili T.601 CFS aina Mitsubishi Fuso Lori likitokea Mbalizi kuelekea kwenye mnada katika Kijiji cha Jojo kilichopo Kata ya Ilembo ilipinduka na kusababisha vifo vya watu 11 ambapo wanaume ni nane (8) na wanawake... Read More