Steven Waiton Mengele, maarufu kama Steve Nyerere, ni miongoni mwa wadau muhimu wa maendeleo nchini kupitia mchango wake mkubwa katika sanaa za maigizo na uchekeshaji kwa miaka mingi. Read More
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe katika uzinduzi wa mpango wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao unalenga kuziwezesha taasisi hizo za elimu kutumia nishati safi ya kupikia, uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Belem nchini Brazil. Read More
Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma kwenye mkutano huo jijini Kinshasa Novemba 15, 2025. Read More
NAIROBI: KAMPUNI ya huduma za matukio na teknolojia ya sauti, Xpose, imewekeza kiasi kikubwa cha fedha zaidi ya Shilingi milioni 19.3 kununua ‘mixer’ ya kisasa ya sauti aina ya DiGiCo Quantum 338, ikiwa ni hatua ya kuboresha viwango vya utoaji wa sauti katika matamasha na burudani ya moja kwa moja yatakayofanyika nchini Kenya. Kifaa hicho,... Read More
Mkoa wa Morogoro una mtandao wa Barabara wa kilometa 2,071.23, katika mtandao huo, Barabara kuu ni kilometa 849.43 na Barabara za mkoa ni kilometa 1,221.81. Read More
SERIKALI imetoa hati za hakimiliki za kimila 580 kwa wananchi wa Kijiji cha Makibo, Kata ya Nyahua, Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora kupitia Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Miombo (DSL-IP), unaoratibiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), ili kuimarisha usalama wa milki za ardhi na kupunguza migogoro kati ya jamii na... Read More
Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Jeshi la Magereza kina mpango wa kuanzisha kituo cha umahiri cha utoaji wa mafunzo kwa wafungwa ili kuwapa maarifa, ujuzi na stadi za biashara Read More