Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Nishati ya PUMA Energies, Duniani Bw. Mark Russell. Read More
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Manispaa ya Geita, Bw. Robert Sugura, alilazimika kuitwa kutoa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo ameongea kuwa baadhi ya vikundi vilikosa mikopo hiyo kutokana na kutokamilisha vigezo vilivyowekwa, licha ya baadhi yao kudai kutuma maombi ndani ya muda. Read More
Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imetangaza kuwa Mkutano wa Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar kwa mwaka 2025 utafanyika katika Kisiwa cha Pemba kuanzia Mei 7 hadi 10. Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia historia ya Kiwanda cha kusafisha Mafuta cha Luanda Oil Refinery wakati akihitimisha ziara yake Jijini Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025. Read More