Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa atembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendela katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Kilwa Road. Read More
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuimarisha mazingira bora na wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kukuza uchumi wa Taifa kupitia sekta mbalimbali, hususan sekta ya utalii. Read More
Katibu Mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), Profesa Celeste Saulo ameahidi kushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuboresha huduma za hali ya hewa kwa matumizi katika sekta za kiuchumi na kijamii. Read More
Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya kihistoria ya zaidi ya kilomita 1,500 kwa muda wa takribani siku 11 kutoka jijini Dar es Salaam mpaka mji wa Butiama. Read More
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Energetech-Tantel zimetiliana saini Hati ya Makubaliano (MOU) itakayowezesha usindikaji na usambazaji wa gesi asilia nchini kote. Read More
Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imewahimiza wananchi waliokuwa wateja wa benki zilizofungwa kutokana na kufilisika kujitokeza ili kuwasilisha madai yao ya fidia. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo wa Denmark Mhe. Elsebeth Søndergaard Krone, mazungumzo yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla Uhispania. Read More