Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 27, 2024 first appeared on Millard Ayo.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka TANROADSkuongeza kasi ya ujenzi wa daraja la Simiyu, wilayani Magu kwenye barabara kuu ya Mwanza-Musoma ili likamilike kwa wakati. Read More
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Kampuni ya Mwembe Logistics, inayotoa huduma za usafirishaji wa mizigo na uwakala wa forodha, imeendelea kujizatiti na kuonyesha ubunifu mkubwa katika huduma zake, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kukuza sekta ya utalii nchini. Akizungumza katika Tamasha la Utalii linalofanyika wilayani Same, lililopewa jina la Same... Read More
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. DENNIS L. LONDO (Mb.) amewataka watumishi wanaotoa huduma mipakani kufanya kazi kwa bidi, weledi na uadilifu. Mhe. Londo ametoa rai hiyo alipokuwa akiongea na watumishi wanaotoa huduma katika Kituo cha Utoaji Huduma kwa Pamoja cha Holili/Taveta, Wilayani... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Mb), akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la Sukuma lenye urefu wa Mita 100 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 2.3 leo tarehe 20 Desemba 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya (Mb) na viongozi wengine wa Chama na Serikali wakishuhudia zoezi hilo. Naibu... Read More
Baadhi ya washiriki kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Tanzania wamekutana katika kikao cha kuimarisha ushirikiano katika masuala ya Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) Read More
Mawaziri wa Kisekta walioshiriki Jukwaa la Biashara na Uwekezaji lililoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Artabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIA na Kituo cha kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Riyadh nchini Oman Read More