Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi Read More
Waziri wa Kilimo,Mhe.Hussein Bashe amewataka wakulima wa Korosho kusini kuhakikisha shughuli zote zinazohusiana na korosho zinafanyika na kupatikana kusini ili kuondokana na umasikini. Read More