Msanii maarufu wa sanaa ya uchekeshaji nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu kama MC Pilipili, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukumbwa na maswali mazito kuhusu hali ya ndoa yake. Read More
Familia ya Malcolm X yashtaki vyombo vya sheria vya shirikisho na Idara ya Polisi ya New York (NYPD) kupanga njama ya kumuua kiongozi huyo wa haki za kiraia. Read More
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ziadi ya shilingi Milioni 500 kwa ajili ya kufanikisha Tamasha la 43 la Kimataifa la Utamaduni na Sanaa tarehe 23 Oktoba 2024, Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Read More