Mkoa wa Morogoro una mtandao wa Barabara wa kilometa 2,071.23, katika mtandao huo, Barabara kuu ni kilometa 849.43 na Barabara za mkoa ni kilometa 1,221.81. Read More
SERIKALI imetoa hati za hakimiliki za kimila 580 kwa wananchi wa Kijiji cha Makibo, Kata ya Nyahua, Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora kupitia Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Miombo (DSL-IP), unaoratibiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), ili kuimarisha usalama wa milki za ardhi na kupunguza migogoro kati ya jamii na... Read More
Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Jeshi la Magereza kina mpango wa kuanzisha kituo cha umahiri cha utoaji wa mafunzo kwa wafungwa ili kuwapa maarifa, ujuzi na stadi za biashara Read More
Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission – JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umeanza rasmi leo tarehe 24 Julai 2025 jijini Kigali, na unatarajiwa kuendelea hadi tarehe 26 Julai Read More
Wananchi Mvomero, mkoani Morogoro wameanza jitihada za kurejesha uoto wa asili katika Milima ya Nguru iliyoharibiwa kutokana na shughuli za kibinadamu. Read More
Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji) amethibitisha kuwa kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ametumia zaidi ya Shilingi Bilioni 80 (Tsh. 87 B) kwenye masuala mbalimbali kwa ajili ya Klabu hiyo. Read More