Waziri wa Maji, Nishati na Madini katika Serikali ya Zanzibar Shaib Hassan Kaduara ameipongeza Puma Energy Tanzania kusogeza huduma ya nishati ya mafuta kwa wananchi wa Zanzibar. Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mahafali ya 43 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye uwanja wa Kawawa katika Manispaa ya Kigoma, Desemba 5, 2024. Waziri Mkuu alimwakilisha Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango. Read More
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD) Dkt. Rukia Mwifunyi amepongeza MSD Tanga kwa kuvuka malengo ya mauzo, katika robo mwaka ya kwanza ya mwaka kwa asilimia 12. Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa hoteli ya GranMelia jijini Arusha, Desemba 3, 2024. Read More
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko amesema umefika wakati kwa Serikali na taasisi na Mashirika kutambua, kuthamini na kutumia tafiti za wanasayansi wa ndani ya nchi. Read More