Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Jeshi la Magereza kina mpango wa kuanzisha kituo cha umahiri cha utoaji wa mafunzo kwa wafungwa ili kuwapa maarifa, ujuzi na stadi za biashara Read More
Wananchi Mvomero, mkoani Morogoro wameanza jitihada za kurejesha uoto wa asili katika Milima ya Nguru iliyoharibiwa kutokana na shughuli za kibinadamu. Read More
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ametoa wito kwa vyombo vya habari na waandishi nchini kote kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi na uadilifu wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza nafasi muhimu ya vyombo vya habari katika kudumisha amani, umoja na mshikamano wa kitaifa. Read More
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesaini makubaliano na Chuo Kikuu cha Fedha na Uchumi cha Kusini Magharibi mwa China (SWUFE) kuimarisha ubadilishanaji wa ujuzi, utafiti wa pamoja, na fursa za mafunzo kwa wanafunzi na wafanyakazi wa pande zote mbili. Read More
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Mwamini Malemi, amepongeza huduma zinazotolewa kwa wanachama na wananchi wanaotembelea banda la Mfuko katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Read More