Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Read More
Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imetangaza kuwa Mkutano wa Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar kwa mwaka 2025 utafanyika katika Kisiwa cha Pemba kuanzia Mei 7 hadi 10. Read More
Tanzania wiki hii iliandaa mkutano uliolenga kuunganisha nchi za Afrika Mashariki katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa hemophilia na seli mundu Read More
Maelfu ya wananchi walijitokeza barabarani, kutoka Ikulu ya Zanzibar hadi Kisiwandui – makao makuu ya Chama cha Afro-Shirazi (ASP) – kushuhudia safari ya mwisho ya Sheikh Abeid Amani Karume. Read More
Takribani kiasi cha tani millioni 7 za taka ngumu huzalishwa hapa nchini kwa mwaka ambapo wastani wa asilimia 45 hadi 50 tu hukusanywa na kutupwa dampo. Read More