Kamishna Turk alisema hatua iliyochukuliwa na Tanzania kuanzisha Tume ya kuchunguza kilichojiri Oktoba 29, kama hatua muhimu inayojali haki za binadamu . Read More
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shilole alichapisha picha akiwa katika mjongeo wa kimahaba na mpenzi wake, akiambatanisha na ujumbe mzito wa upendo na shukrani uliogusa wengi wa mashabiki wake. Read More
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewaagiza baadhi ya mawaziri alioambatana nao wabakie mkoani Tanga ili kufuatilia masuala yaliyoibuliwa na wananchi na kuyatafutia ufumbuzi. Masuala hayo yalitokana na hoja zilizoibuliwa kwenye mikutano ya hadhara na wabunge wa mkoa wa Tanga na wananchi mbalimbali kwenye sekta za ardhi, mifugo, kilimo, maji, elimu na barabara. Ametoa Read More
Urusi imefanya shambulizi kubwa dhidi ya miundombinu ya nishati nchini Ukraine, hatua iliyosababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mengi ya nchi hiyo. Taarifa hiyo imetolewa leo na Kampuni ya Taifa ya Umeme ya Ukraine, Ukrenergo. Kupitia ujumbe uliotolewa kwenye mtandao wa Telegram, Ukrenergo imesema kuwa mashambulizi hayo bado yanaendelea, huku ikibainisha kuwa shughuli za kurekebisha
The post Urusi Yashambulia Gridi ya Umeme Ukraine, Maeneo Mengi Yabaki Giza appeared first on Global Publishers. Read More
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Mteule wa Uganda, Jenerali Yoweri Kaguta Museveni, amemtunuku nishani Mkuu wa Majeshi (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kwa kutangaza na kutambua ujasiri wake katika operesheni dhidi ya makundi ya kigaidi nchini Somalia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), na Sudan Kusini. Katika hafla hiyo maalumu ya kijeshi, Rais Museveni alimpongeza
The post Museveni Amtunuku Nishani Mwanaye CDF Muhoozi Kwa Ujasiri appeared first on Global Publishers. Read More
Nahodha wa Simba, Shomari Kapombe aibua gumzo baada ya kushindwa kuweka wazi maana halisi ya staili yake mpya ya kushangilia mabao, inayohusisha kutembea kama mzee anayesaidiwa na mkongojo, akisema ni staili atakayoendelea nayo kila anapofunga. Read More
Na Happy Lazaro,Arusha . Mkuu wa wilaya ya Arusha Joseph Mkude amewataka madiwani wa halmashauri ya jiji la Arusha kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa bima ya afya kwa wote(NHIF) ili kuwa na uhakika wa matibabu. Ameyasema hayo leo wakati akizundua mpango wa bima ya afya kwa wote iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya Read More
Timu ya Vodacom Tanzania kanda ya ziwa ikiendelea kusambaza upendo kwa wateja wake kwa kugawa Kapu la Vodacom ikiwa ni ishara ya kusherehekea msimu huu wa sikukuu pamoja na wateja wao na kuhitimisha sherehe za Miaka 25 ya utendaji wa kampuni hiyo hapa nchini. Hafla hii imefanyika katikati ya mwezi Disemba wilaya ya Karagwe, mkoani Read More