0 Comment
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote EOTF Mama Anna Mkapa (wa pili kutoka kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wanawake wajasiriamali kati ya wanawake 250 nchi nzima wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika jijini Dar es salaam. Kulia kwa Mama Mkapa ni Mgeni rasmi Bi. Gema... Read More