ELAF kimewataka Watanzania kujiepusha na vitendo vya ukiukwaji wa sheria, ikiwemo kufanya maandamano yasiyo rasmi katika kipindi cha uchaguzi. Read More
Marekani imepunguza shinikizo la kidiplomasia na Mali, ikiondoa taifa hilo la Afrika Magharibi kutoka kwenye Mpango wa Jaribio la Visa Bond ulioleta mzozo, siku chache kabla ya hatua hiyo kuanza kutumika. Mpango huo unaruhusu maafisa wa ubalozi wa Marekani kuomba dhamana inayorudishwa ya hadi dola 15,000 kutoka kwa watu wanaotaka visa, kama hakikisho la kurudi Read More
Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umefungwa rasmi jijini Kigali leo tarehe 26 Julai 2025 Read More
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum kwa njia ya mtandao kesho, Julai 26, 2025, ambapo ajenda kuu itakuwa kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama hicho. Read More