Live Video: Rais Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo tarehe 14 Oktoba, 2024. Read More
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amejiandikisha katika daftari hilo Mtaa wa Mjimwema Manispaa ya Songea Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na waumini wa Kanisa Katoliki kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri- Nyakahoja Jijini Mwanza Read More
Muungano wa nchi 104 wanachama wa Umoja wa Mataifa, pamoja na Umoja wa Afrika, umelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kumtangaza Katibu Mkuu Antonio Guterres “kuwa mtu asiyetakikana.” Read More
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limekutana na Mkuu wa Mkoa wa Mara,kuzungumzia usalama wa usafiri wa majini kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Read More
Naibu Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu leo ameadhimisha Siku ya Wakulima wa miwa Bonde la Kilombero kwa kuwataka wakulima na wadau wa sekta ya sukari kuwekeza katika teknolojia ya kisasa na ubunifu. Read More