Kundi la Hamas limekabidhi miili ya mateka wanne waliouawa na Israel katika shambulio la bomu huko Gaza kwa shirika la Msalaba Mwekundu, kwa mujibu wa TRT World. Read More
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Ireland zimesaini hati ya makubaliano katika Sekta ya Afya ili kuendeleza ushirikiano uliopo ikiwemo kubadilishana uzoefu baina ya watalaam katika nchi hizo mbili. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Saudi Arabia kuhusu Nishati Safi ya Kupikia. Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates, Dkt. Anita Zaidi Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Februari, 2025. Read More
Umati wa Wapalestina, ambao waliyakimbia makazi yao kutokana na vita vya miezi kadhaa, walianza kuelekea kaskazini mwa Ukanda wa Gaza siku ya Jumatatu. Read More
Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga amewasili nchini mchana wa leo tarehe 26 Januari 2025, Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ujulikanao kama “Mission 300”, utakaofanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Read More