Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mthibiti Ubora wa Kiwanda cha Uzalishaji dawa za Binadamu cha CURE AFYA, Kareem Mruthu, alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kimbiji, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam. Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) asaini Hati ya Mikataba Miwili (2) kusaidia utekelezaji wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania Read More
Rais Samia amemtangaza Profesa Janabi kama muwakilishi aliyechaguliwa kuiwakilisha Tanzania katika kunyang'anyiro cha kuwa Mkurugenzi WHO Afrika. Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mahafali ya 43 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye uwanja wa Kawawa katika Manispaa ya Kigoma, Desemba 5, 2024. Waziri Mkuu alimwakilisha Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango. Read More