0 Comment
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Medi WANANCHI wa vitongoji vya Mahuu na Kavambughu kata ya Same wilayani Same mkoani Kilimanjaro wameingia katika historia mpya tangu kupatikana kwa Uhuru wa Taifa baada ya Serikali kufikisha huduma ya maji safi kupitia mradi wa Same – Mwanga – Korogwe. Shangwe nderemo na vifijo vilisikika kutoka kwa wananchi hao waliokuwa... Read More











