0 Comment
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Safi Tanzania (REA) wamezindua rasmi mradi mkubwa ambao utawafikia na kuwawezesha wafanyakazi wote wa Magereza kuacha matumizi ya mkaa na kuni na kuhamia matumizi ya gesi. Uzinduzi wa mradi huo umefanyika leo Julai 1,2025 katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu ambapo kupitia... Read More