0 Comment
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Kigamboni Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30 Novemba 2024. ……... Read More











