Rais Samia amechangia shilingi milioni 50 kuchangia ujenzi wa shule ya msingi na umaliziaji wa majengo ya zahanati inayomilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania – BAKWATA mkoa wa Simiyu. Read More
Wasichana ishirini kutoka Vituo vya kulea Watoto Yatima wamepata fursa ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu usafiri wa anga Read More
* Awataka Wananchi Kulinda Miundombinu ya Shule kuleta Maendeleo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano wa Serikali na wafadhili kuwasomesha Watoto na hatimaye kuchochea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo wakati akizindua miundombinu ya Shule ya... Read More