0 Comment
Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma kwenye mkutano huo jijini Kinshasa Novemba 15, 2025. Read More











