Wananchi Mvomero, mkoani Morogoro wameanza jitihada za kurejesha uoto wa asili katika Milima ya Nguru iliyoharibiwa kutokana na shughuli za kibinadamu. Read More
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Read More
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Energetech-Tantel zimetiliana saini Hati ya Makubaliano (MOU) itakayowezesha usindikaji na usambazaji wa gesi asilia nchini kote. Read More
Taswira ya Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 ambalo limefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Read More
Farida Mangube , Morogoro Mabalozi wa nchi tano za Nordic ambazo ni Denmark, Finland, Iceland, Norway na Sweden wameupongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa mafanikio makubwa ya kuendeleza miradi ya upandaji miti na uhifadhi wa mazingira, miradi ambayo iliasisiwa kwa msaada wa mataifa hayo zaidi ya miongo miwili iliyopita. Pongezi hizo zilitolewa... Read More
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Manispaa ya Geita, Bw. Robert Sugura, alilazimika kuitwa kutoa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo ameongea kuwa baadhi ya vikundi vilikosa mikopo hiyo kutokana na kutokamilisha vigezo vilivyowekwa, licha ya baadhi yao kudai kutuma maombi ndani ya muda. Read More