Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linaendesha program ya kuongeza ujuzi katika baadhi ya nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, Rwanda, Uganda, Kenya, Eritri na Malawi. Read More
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara amesema Rais Samia amefanya mambo makubwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake na kutoa mfano kwa Mkoa wa Mbeya. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kukemea vitendo vya ukatili ulioshamiri dhidi ya wanawake na watoto . Read More
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yoichi Mikami, ilichofanyika jijini Dodoma. Read More