Jukwaa la Pili la Utalii wa Chakula Duniani kwa Kanda ya Afrika linaloandaliwa na Shirika la Utalii Duniani linatarajiwa kufanyika hapa nchini Aprili mwaka huu jijini Arusha. Read More
Mradi wa Daraja la Magufuli – linalojengwa katika Kanda ya Ziwa – ni mfano hai wa miradi inayotekelezwa kwa mafanikio makubwa chini ya uongozi wa Rais Samia. Read More
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuwa chama cha wanachama, kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote na kuwa mtetezi wa wanyonge. Read More
Maelfu ya wananchi walijitokeza barabarani, kutoka Ikulu ya Zanzibar hadi Kisiwandui – makao makuu ya Chama cha Afro-Shirazi (ASP) – kushuhudia safari ya mwisho ya Sheikh Abeid Amani Karume. Read More
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbogwe, Pius Lukaga, amewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya rushwa wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi. Read More