RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 22 yaliyofanyika leo 5-12-2024 na (kushoto kwake) Waziri... Read More
Tanzania imeweka rekodi ya Mkutano wa Pili wa Wahasibu Wakuu wa Serikali Barani Afrika kwa kuwa na washiriki zaidi ya 2000 kutoka ndani na nje ya Bara la Afrika. Read More
Ni kweli Askari Polisi walifika eneo hilo kumkamata mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mweta, ambaye awali alikamatwa na baada ya kudhaminiwa aliruka dhamana. Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mahafali ya 43 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye uwanja wa Kawawa katika Manispaa ya Kigoma, Desemba 5, 2024. Waziri Mkuu alimwakilisha Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango. Read More
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD) Dkt. Rukia Mwifunyi amepongeza MSD Tanga kwa kuvuka malengo ya mauzo, katika robo mwaka ya kwanza ya mwaka kwa asilimia 12. Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa hoteli ya GranMelia jijini Arusha, Desemba 3, 2024. Read More